Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
AtaaaaariiiiiiAisée kumbe tupo wengi tunafanana kupenda vitu
Chelsea
Simba
Ndio Mpango mzima
AtaaaaariiiiiiAisée kumbe tupo wengi tunafanana kupenda vitu
Chelsea
Simba
Ndio Mpango mzima
....lakini salamaAtaaaaariiiiii
Kweliiiii...Tutawapigaaa tuu
Kweli mpendwa wangufurahi mama yangu maisha yenyewe mafupi haya
Ooh, kumbe literature iliniacha. Thakyu in advanceYaani hapa kaburi linafukuliwa...mambo yote ya zamani yaliyosahaulika au kupuuziwa yanaanzishwa upya .
Niko poa katika yote.Uko poa kiongozi ??
Leo mbona nimechelewaa mkuu
Mpaka muda huu??Hata mi sjaelewa
Jina lako gumuuNiko poa katika yote.
Hahaha, hongera sana
NishaelewaaaMpaka muda huu??
Kumbe unajua ngeliOoh, kumbe literature iliniacha. Thakyu in advance
Always stay blessed
BLESSED kanielekeza, mimi sijuiKumbe unajua ngeli
Kwa ufupi wananiita TETRA, nawe waweza kuungana naoJina lako gumuu
SafiNishaelewaaa
Sawa mkuu tetraKwa ufupi wananiita TETRA, nawe waweza kuungana nao
We ni me au ke?!Kwa ufupi wananiita TETRA, nawe waweza kuungana nao
Kakuelekeza picha au ngeli?BLESSED kanielekeza, mimi sijui
Yaani katika hili Amefeli,naamini kwa mauaji haya ni muda mrefu sasa angesimamisha mambo yote nguvu,maneno,ushirikiano vingeelekezwa Kibiti..ingekua kwa wenzetu hakika kuna mtu angejiuzulu..ukitafakari inaumiza sana...nina binti mdogo namfahamu mume wake aliuawa mwanzoni mwanzoni yaani hivi sasa hakuna mtu anamkumbuka na watoto wadogo,wale vijana nao waliouawa kwa mpigo ?sijui wazazi wao nani anawakumbuka inaumiza pale ambapo hakuna ufumbuzi yaani tuendelee kusubiria misiba..Mungu aingilie kati hili jambo linaumiza wengi..serikali yenyewe itaajiri familia je?wajane?wazazi?yatima...so painful jana tena askari wanauawa gari inachomwa moto mazimaaaaNa Bongo tunaye Sizonje mikwara mingi lakini Kibiti hapawezi
....

Amen asante kushukuru mkuuOoh, kumbe literature iliniacha. Thakyu in advance
Always stay blessed
Ubarikiwe Lee wa ShunieAminaaaaa