Makapuku Forum

2012 - Rais wa Paraguay, Fernando Lugo anaondolewa madarakani na Bunge la Nchi hiyo .

Federico Franco anachukua wadhifa huo punde tu.
Hawakuishia hapo tu pia walimtia korokoroni
Ilitokana na kusapoti mauaji ya raia/waandamaji/waasi mitaani waliokuwa wakipambana na Polisi pengine kumpinga yeye

Hapa kwetu bwana yule ni jeuri dhidi ya bunge na Mahakama...
Anafanya atakavyo hata "akivunja katiba" wanamchekea tu km vile ni bwana wao
.....
 
Alitamba na akina Prettyboy Floyd & Babyface Nelson waliisumbua Marekani vilivyo enzi hizo
Bwana mkubwa wa FBI Edgar J Hoover kwa kutumia weledi akafanikiwa kuwanyamazisha kimyakimya Baadhi ya muvi
......
 
hahahah! umeniacha hoi hapo kwa ndugu yetu Kenyatta.. Al shaabab wanavuruga afu ujiite Field Marshall
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…