Hivi nyasi zenu bandia bado zipo stoo Msimbazi au mshapeleka Bunju?
Nataka niwalete mbuzi wangu hapo Msimbazi maana huku Mabibo malisho yamepungua
........
Bendera yao ina msalaba wanjano/dhahabu ukiwakilisha Christianity
Rangi ya blue imewekwa kwa sababu [bNgao yao ya Taifa[/b] ilikuwa na rangi hiyo
Hili ni Taifa lililojaa Wakristo
......