Makapuku Forum

 
View attachment 528592Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Shunie
Nawatakieni wote siku njema
Hahahha singano simba huwezi kurudi labda uje kucheza bure na azam ndio hivyo labda ukachukue mill 15 pole sana uliondoka kwa dharau sana

Shemela wangu mimi hope umeamka salama

Nashkuru kwa udhamini muke ya pedeshee lee mutu ya niniii sijui wanamwita wenyewe me nampenda tu hivyo hivyo jamaan Baba D wangu
 
Huyu Spika wa ajabu sana anafikiri anakomoa wapinzani wakati wanaoumia ni wananchi.....pesa za maendeleo zinatokana na haohao walipa kodi
Kazi ya mbunge ni kuwawakilisha tu wasipopoleka huduma kwenye majimbo ya wapinzani ndo wanachochea chuki dhidi ya chama utawala
Stupidity
.
.
.
Kuhusu Kibiti hii ni too much
Sizonje yupo hukohiko Pwani na bado wanaua tu
Juzi tu Polisi wameonesha ubabe kwa wakemavu kumbe hawana lolote
Inasikitisha
.
.
Ahsante mdau kwa magazeti
Yaani sina hana ya kukodoa macho kwenye meza za magazeti
..........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…