Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Ha ha ha ha ha ha ha ha ungelimjeruhi wapii wakati ulinywea kama sisimizi mpaka nikatoa kale ka kisu nilikokuwa nimekachonga kwa ajili ya kuibia maembe ila tuliwawezaaa....
Ila bhinamu unakumbuka yule bint wa jiran aliyetoka advanced level shuleni ukajitutumua kumpiga mistariii....weee bhinamuu ukipanga wako umeuanzaa zamani dadekiiiii eti ukaniomba nikuandikie kwa kingereza .....
ukute demu mwenyewe hajui ngeli mkampa shida kuelewa tu mtoto w watu


alikuzidi ketei itakuwa