Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] ukute demu mwenyewe hajui ngeli mkampa shida kuelewa tu mtoto w watuHa ha ha ha ha ha ha ha ungelimjeruhi wapii wakati ulinywea kama sisimizi mpaka nikatoa kale ka kisu nilikokuwa nimekachonga kwa ajili ya kuibia maembe ila tuliwawezaaa....
Ila bhinamu unakumbuka yule bint wa jiran aliyetoka advanced level shuleni ukajitutumua kumpiga mistariii....weee bhinamuu ukipanga wako umeuanzaa zamani dadekiiiii eti ukaniomba nikuandikie kwa kingereza .....
Weee achaaa mamiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] obe Mimi
C.o mjomba lee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante kushukuru[emoji4]Hili flower matata sana yaani linanifanya nijisikie raha ya ajabu. Asante kwa maua
Hi T wa Sakayo za uzima karibuHelloz
Ndio maana yake hiyooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
unatoa address ukisubiri barua kutoka kwa mtoto sio!
Wee alikuwa anajuaaa bhanaaaa katoka shule mtoto mrefu ka mnyarwanda mtoto anatembea kama ananyata .....kisiman tukienda hatutokiii mpaka aje kuchotaa[emoji1] [emoji1] ukute demu mwenyewe hajui ngeli mkampa shida kuelewa tu mtoto w watu
Ha a ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha umeniuaaa ...jamani D wanguuuuuBaba D huyu kama Tommy [emoji23] View attachment 528406
[emoji4]Husna hana mbwembwe , ishia hapo hapo , bado ni.mapema sana kuhamisha magoli
Sawa endeleeniTunajikumbushiaa ya nyumaa
[emoji1] [emoji1] ukute demu mwenyewe hajui ngeli mkampa shida kuelewa tu mtoto w watu
Ubarikiwe mkuu Bitoz kazi yako ni njema asante sana1/Dhaqabo Ebba
Ni Muethipia alizaliwa miaka ya 1850's
Muda wake mwingi anejishughulisha na kilimo
Sijaona mahali popote kama huyu babu keshafariki(sina uhakika)
Kinachomnyima tunzo ya kuwa mtu mzee zaidi duniani ni ukosevu wa ushahidi kamili pia Wazungu hujipendelea tu kwa kila jambo
Ana umri wa zaidi ya miaka 160
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.............
Mnatisha km sizonje[emoji38]Weee achaaa mamiiii
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Ha a ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha umeniuaaa ...jamani D wanguuuuu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hapana chezea baleheWee alikuwa anajuaaa bhanaaaa katoka shule mtoto mrefu ka mnyarwanda mtoto anatembea kama ananyata .....kisiman tukienda hatutokiii mpaka aje kuchotaa
[emoji15] alikuzidi ketei itakuwa...weeeeeeee, alikuwa anapiga ngeli acha tu. Haina cha hwayu senkyu ni kung'ata maneno yunowaraamsei baby. usiniulize tuliishia wapi, huwa nikikumbuka tulipoishia ndo mwanzo wa kutoaminiana na mjomba angu mimi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ubarikiwe dear,asante
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Hata mpendwa hafanyi pia
Anaongeaga tu kufuraisha baraza
mke mwee ibra anakuita[emoji3] [emoji3] [emoji3]