UmetishaaaaaKidogo tu sio sana
Chii nina ndomoooKm huelewi kwann ulisema?!
Aha ha, ha ha kudata lazimaYani huyo kaka ni Handsome kuliko hata malaika naachaje kudata sasa kwa mfano???
1962 - Joko Wododo anazaliwa.
Ni Rais wa 7 wa Indonesia.
Uzuri mpendwa wako bhinamu yangu kamzidi huyuhebu tupia picha ya malaika tulinganishe
MorningMorning all
ApoooShukrani kamarada!
Wapi?
Kabisa kabisaaNaona kumekucha kamanda lee
Na lazima atauza tuSijajua alipo ila nafikiri alipata dili la umodo,matangazo au kucheza filamu
.....
Huyu leo na wewe tuuNa lazima atauza tu
1967 - Pierre Omidyar anazaliwa.
Ni mfanyabiashara mwenye uraia wa Marekani na Ufaransa.
Mwanzilishi wa mtandao wa eBay.
Hamna picha halisi ni habari tu za kusadikikahebu tupia picha ya malaika tulinganishe
Baada ya kufariki kwake, akaja Papa John Paul wa I ambaye alidumu kwa siku 33 tu kabla ya kufariki kifo tata.
Ni muiyaliano....Alizaliwa mwaka 1897
Alikuwa Papa kuanzia 1963 hadi pale alipofariki dunia Agosti 6 1978
......
Kumbe ni mwanamamaKutokea familia ya wana siasa
Baba yake alikuwa kiongozi mkubwa nchini humo na akauawa kama mwanawe ....huu ukoo ni kama akina Kennedy curse tuNukuu # 3 hajawahi kufutika kichwani kwangu
Aliye karibu na Sizonje amwambie hayo maneno
.......
Maisha ni vile ulivyoigusa mioyo ya watu siyo miaka uliyoishi
Kwa kweli inasikitisha but hizo picha bwana da nimecheka aisee huyu jamaa ni bonge la msanii
Poa mkuuShukrani kwA historic
Nipo sawaApooo
Hebu weka pichaUko sahihi
1982 - Prince William anazaliwa.
Ni mtoto mkubwa wa Marehemu Princess Diana na Prince Charles, mtoto wa Malkia wa Uingereza.