Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Ubarikiwe piaMorning Bailly5 ,ubarikiwe
Ubarikiwe piaMorning Bailly5 ,ubarikiwe
Raia mwema nalo front page imejaa matangazo tupu
Ningekuwa mimi nawagomea![]()
Huu ni ubaguzi na unyanyasaji
.
.
.
.
Asubuhi njema
......
Ha ha ha ha ha ha na mm ngoja nijifanye nimeionaSave water drink beer! Nimeiona sehemu tu
Pamoja komrediUbarikiwe mkuu
I thanks Allah each and everything is ok ...I'm doing wellAre you doing good?
Ongeza minerals mwilini adimuMaji ya mende
Vumbua dhahabu
Kunywa bia kwa afya
![]()
![]()
![]()
.....
Usiku plz ntajitahd ngoja iwe ndefuuuLee shusha vitu mkuu story imeishia pataaaamu

R.i.p Ally YangaDaaaaah Udongo unameza ....R.I.P Ally wa Yanga ...
............Huyu mwanadamu alikuwa ni star katika mastar wanaoishi jukwaani katika kila mchezo wa Yanga na wa Taifa stars, huyu mwanadamu kila wakati alivutia kwa ubunifu wake jukwaani...... Nani alikuwa hamfahamu mwana Sanaa huyu, Nani alikuwa hamfurahii mwanadamu huyu...... Sio Mimi tu, sio wewe tu, hata camera za runinga zilimfurahia kila timu yake ilipokuwa inashangilia goli..... Alivutia wakati wa kushangilia goli kwa staili ya kuchinja lakini pia alivutia zaidi wakati ana kuhuzunika baada ya kufungwa.
Nenda sasa ukapumzike Ally Yanga, picha zako ni ushahidi tosha wa ufalme wako jukwaani kwa jezi za Yanga na taifa stars katika Sanaa yako. Mwenyezi Mungu aipe faraja familia yako katika kipindi hichi kigumu, lakini pia Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi AMEN.
Tangulia hiyo ndio njia yetu sote. Inalilah waina ilaih rajiun
Muhengaaa....Wakuu tuwe na siku njema ...tukumbuke kufanya yaliyomema
Shukrani kamarada!Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni wote siku njema
Kwa udhamini mnono wa Obe
Hapa waarabu walitisha
Asante kwa ujumbe mzuriWakuu tuwe na siku njema ...tukumbuke kufanya yaliyomema
MornGoodmorning
Hope mko poa.
Ahsante mdauMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni wote siku njema
Kwa udhamini mnono wa Obe
Mbona waguna ??Mmmmh