Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Sio meliii ??Hiyo lugha ilikuja na ndege mkuu
Sio meliii ??Hiyo lugha ilikuja na ndege mkuu
Nzuri mkuuZa asubuhi....
Asantee sanaaaa mamaWAPUMZIKE KWA AMANI WKIMBIZI WALIOZAMA NA KUPOTEZA MAISHA.
Suala la ukimbizi ni gumu kuisha mpaka mfumo wa maisha na usalama wa nchi za kiafrika urekebishwe...hao ni wale wanaoondoka kwa kujifichaficha ,nchi zetu pia zina watu wengi wameondoka kwa majina ya kwenda kusoma,kutembelea ndugu,kutibiwa lakini ukichunguza ni ukimbizi.
Hao wanaotajwa wauaji na wabakaji kwakweli wachunguzwe haraka na hatua za kisheria zichukuliwe ,naamini vithibitisho vipo,vifo na hao waliobakwa.
Lee wa Shunie asante sana kwa HADITHI,BBC ,UF NA BARAKA UBARIKIWE SANA
Mungu awabariki mkuu Shululu na mkuu Obe kwa magazeti asanteni sanaMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni wote siku njema
Kwa udhamini mnono wa Obe
Wanawake hawa wa kuokotelezewa mitandaoni hujajifunza tu? Safari hii kuwa ngangari acha udomozege tafuta mwenyewe hata akikushinda unajua kwamba ni matunda yako na juhudi zako. Hawa wa kupewa hawa - hasa ukizingatia kuwa jamaa aliyekupa ulikuwa unazengea mkewe hapo mwanzo - yaweza kuwa ulikuwa mtego ili kukuumiza. Jichunge ma braza na nina uzoefu na haya mambo. Usiingie tena katika mtego ule ule. Huna moyo wa jiwe ati!

PUMZIKA KWA AMANI ALLY YANGADaaaaah Udongo unameza ....R.I.P Ally wa Yanga ...
............Huyu mwanadamu alikuwa ni star katika mastar wanaoishi jukwaani katika kila mchezo wa Yanga na wa Taifa stars, huyu mwanadamu kila wakati alivutia kwa ubunifu wake jukwaani...... Nani alikuwa hamfahamu mwana Sanaa huyu, Nani alikuwa hamfurahii mwanadamu huyu...... Sio Mimi tu, sio wewe tu, hata camera za runinga zilimfurahia kila timu yake ilipokuwa inashangilia goli..... Alivutia wakati wa kushangilia goli kwa staili ya kuchinja lakini pia alivutia zaidi wakati ana kuhuzunika baada ya kufungwa.
Nenda sasa ukapumzike Ally Yanga, picha zako ni ushahidi tosha wa ufalme wako jukwaani kwa jezi za Yanga na taifa stars katika Sanaa yako. Mwenyezi Mungu aipe faraja familia yako katika kipindi hichi kigumu, lakini pia Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi AMEN.
Tangulia hiyo ndio njia yetu sote. Inalilah waina ilaih rajiun

Poleni ndugu jamaa marafiki na wanayanga kwa msiba.
Morning to u BlessedHope be bessed piaGoodmorning madame God Bless you
....haha hahahahahaha! Nimecheka hadi nasikia kiungulia utasema maandishi yako yana ladha ya beans

Njema za uzima? BarikiwaZa asubuhi....
Morning Bailly5 ,ubarikiweMorning ladies and gentlemen
Mungu awatangulie na asiwapungukie baraka mmalize salama ,nawaombea amani na ibada njema Ramadhan KareemMfungo 26 leo hivyo bado siku 3 au nne, Ramadhan Kareem!

Teh teh teh
Save water drink beer! Nimeiona sehemu tu
Ubarikiwe mkuuWakuu tuwe na siku njema ...tukumbuke kufanya yaliyomema
Ningekuwa mimi nawagomea![]()
Huu ni ubaguzi na unyanyasaji
.
.
.
.
Asubuhi njema
......

Are you doing good?Morning chief