Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Hapo umeniacha kwenye mataaIndimwumi

Hapo umeniacha kwenye mataaIndimwumi

Asante
Nzuri mkuuHabari za asubuhi wakuu
Uko poaa ??Hapo umeniacha kwenye mataa![]()
Nawe ppia sir peremendeTuwe na siku njemaa ...
Mutu ya watuNawe ppia sir peremende
Usijali nitakuwa nakufundishaHapo umeniacha kwenye mataa![]()
Roho mbaya ni kumuonea kijicho mwenzako![]()
Roho mbaya ni nini?
Good morning family
Salama kabisa mkuuHabari za asubuhi wakuu
Mataa yapi?Hapo umeniacha kwenye mataa![]()
Umeakaje kamanda asante kwa UF na Ndondoo za bbcTuwe na siku njemaa ...
Tuko pamoja mkuuAsante
Peremende zao watotoMutu ya watu
AiseeWANASAYANSI WAGUNDUA SAYARI NYINGINE YENYE UHAI...
![]()
...........Wataalam wa maswala ya angani wametangaza ugunduzi wa sayari nyengine kumi angani ambazo huenda zinaweza kusaidia uhai.
Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani NASA wanasema kuwa data mpya iliochunguzwa kutoka kwa darubini ya Kepler inaonyesha sayari kumi zenye miamba ambazo zipo hatua chache kutoka kwa mkusanyiko wa nyota.
Sayari hizo ambazo zinatoshana na dunia, zote zipo nje ya jua katika mkusanyiko huo wa nyota.
Darubini hiyo ya Kepler sasa imegundua jumla ya sayari 50 katika maeneo tofauti yenye uhai angani.
Asante mkuuView attachment 527335Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa husna muba
Nawatakieni siku njema
Hivi wakiamua walipe hiyo pesa bil mia tatu noah zetu hatupati ata mafuta ya kuanzia kidogo ??

Niko poaa mkuuUmeakaje kamanda asante kwa UF na Ndondoo za bbc