Tena tumejaa tele.wakuu upo humu
No sumbai hawezi ng'oa mtoto mzuri vile niliachana naye asubuhi hii wacha nimchek amaizing upo wapi Mumy...Mtumish vip Patience123 yupo salama?Ameizing simuoni shida nini au sumbai kabeba
Salama kabisa Mkuu, umeshatoka Congo?Ladies n Gentlemen Goodmorning....
Mzima sana, sasa dadako kachanua sana mambo yanasongaNo sumbai hawezi ng'oa mtoto mzuri vile niliachana naye asubuhi hii wacha nimchek amaizing upo wapi Mumy...Mtumish vip Patience123 yupo salama?
Tuko pamoja mkuu wala usimtilie shaka kabisa...Ni kweli kaka, ndo maana huna nakukubali sana.
Habari njema sana hii Baba Mtumish, Mambo zako niaje lakin?Mzima sana, sasa dadako kachanua sana mambo yanasonga
KaribuMgeni wenu napiga hodinimetokea gamboshi hapa mjini sina mwenyeji sifa zenyu nimezisikia mbali msinitupe nikaribisheni napiga hodi tena![]()
Siku njema iwe na kwako pia Mkuu.Hbrn za asubuh wapendwa!!nashukuru Mungu kumekucha salama!!!!cku njema wakuu!!!
Mtumishi mimi ninamtukuza Mungu tu, asubuhi ni njema tuHabari njema sana hii Baba Mtumish, Mambo zako niaje lakin?
Hatuogopi gamboshi tunaye simba wa kabila la yuda, wewe karibia tuMgeni wenu napiga hodinimetokea gamboshi hapa mjini sina mwenyeji sifa zenyu nimezisikia mbali msinitupe nikaribisheni napiga hodi tena![]()
Na kwako pia kaka.Makapuku muwe na siku njema
Asante kwa kumpa kiti mgeni, asubuhi yako ikoje Jimena my dada!Karibu
Soma page ya 1 post namba 3
Peace and Love
Mkuu youngblood keshakupindua????Wee jamaa vipi?
Una nini na ndoa yangu?
Mkuu manuu njoo huku unisaidie, kuna jamaa analeta mawenge kwa ndoa yangu.
Asante, na kwako iwe njema braza.Vyema na haki kumshukuru.
Siku njema ndugu
Nipo baba angu,,,,,,,asubuhi njemaNo sumbai hawezi ng'oa mtoto mzuri vile niliachana naye asubuhi hii wacha nimchek amaizing upo wapi Mumy...Mtumish vip Patience123 yupo salama?
Asante braza, nadhani hizi ni changamoto za asubuhi katika kuwahi ofisini.Pole sana mkuu mi nimeanza vibaya kwa kuacha duka wazi ila yote ni hizi haraka za asubuhi..
Poleee mkuu amaizing ulisahau majukumu yakoNimeamka asubuhi na mapema nikajiandaa tayar kwenda kwa majukumu ya kujenga Taifa...Nikafika ofisin nikawa naongea na binti mmoja mfanyakazi hapo yeye akiwa amekaa mimi nikiwa nimesimama sasa yule binti akawa aniangalii machoni aongei na mimi kama siku zote...Nikaenda kwenye ofisi ingine kuna mchanganyiko wa staff wengi wao wakiwa ni wanawake..Tukawa tunadiscuss jambo fulani lililo nilazimu niende kutoa ufafanuzi kwenye Flip chart...Nikaona minong'ono mingi ya chini chini...Nikamaliza nilichukua nafafanua nikafungua mlango kuelekea ofisini kwangu..Ile nafungua mlango staff mmoja mwanaume tuliozoeana akanifuata akaniambia Mkuu zipi ya suruali iko wazi,ndiyo maana wakina mama kule ndani walishindwa ku-concetrate na ulichokua unaongea....OK NDIYO ASUBUHI YANGU ILIVYOANZA KWA AIBU HIVYO ILA MAADAM WOTE TU WATU WAZIMA HAKUNA SHIDA SANA....ASUBUHI YAKO IMEANZAJE SIKU YA LEO?