manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Nashukuru Mke na wewe pia uwe na siku iliyotukuka..Nipo baba angu,,,,,,,asubuhi njema
Nashukuru Mke na wewe pia uwe na siku iliyotukuka..Nipo baba angu,,,,,,,asubuhi njema
Kabisa mkuu wangu....Asante braza, nadhani hizi ni changamoto za asubuhi katika kuwahi ofisini.
Ulipoacha geti wazi ndani ulikuwa umepaki Benz au Bajaj???Nimeamka asubuhi na mapema nikajiandaa tayar kwenda kwa majukumu ya kujenga Taifa...Nikafika ofisin nikawa naongea na binti mmoja mfanyakazi hapo yeye akiwa amekaa mimi nikiwa nimesimama sasa yule binti akawa aniangalii machoni aongei na mimi kama siku zote...Nikaenda kwenye ofisi ingine kuna mchanganyiko wa staff wengi wao wakiwa ni wanawake..Tukawa tunadiscuss jambo fulani lililo nilazimu niende kutoa ufafanuzi kwenye Flip chart...Nikaona minong'ono mingi ya chini chini...Nikamaliza nilichukua nafafanua nikafungua mlango kuelekea ofisini kwangu..Ile nafungua mlango staff mmoja mwanaume tuliozoeana akanifuata akaniambia Mkuu zipi ya suruali iko wazi,ndiyo maana wakina mama kule ndani walishindwa ku-concetrate na ulichokua unaongea....OK NDIYO ASUBUHI YANGU ILIVYOANZA KWA AIBU HIVYO ILA MAADAM WOTE TU WATU WAZIMA HAKUNA SHIDA SANA....ASUBUHI YAKO IMEANZAJE SIKU YA LEO?

Ha haaa mkuuJamani kuna kapuku toka Zanzibar hapa!
Akiwepo ni pm pliz
Mkuu ndugu yangu..Asubuhi yako imekaaje?Ulipoacha geti wazi ndani ulikuwa umepaki Benz au Bajaj???
Karibu Mkuu.Mgeni wenu napiga hodinimetokea gamboshi hapa mjini sina mwenyeji sifa zenyu nimezisikia mbali msinitupe nikaribisheni napiga hodi tena![]()
Mkuu nahitaji Booster ya watt 1500 hadi watt 2000, pia keyboard yamaha psrs 910Ha haaa mkuu
Unahitaji urojo???
Mtumish naona unataka kutanua wigo katika huduma...Jamani kuna kapuku toka Zanzibar hapa!
Akiwepo ni pm pliz
Acha tu mkuuMtumish naona unataka kutanua wigo katika huduma...
Nimeona nyota nyota mkuu....Mkuu nahitaji Booster ya watt 1500 hadi watt 2000, pia keyboard yamaha psrs 910
Mmmh cjui ni lugha gani lakini karibuHodi mwi basi
Pamoja sana kaka.Nashukuru sana kama na wewe umelijua hilo...
Hahaha waite wenyeweNimeona nyota nyota mkuu....
Kapuku aliyekuwa zenji
Mkuu kwema!Pamoja sana kaka.
kwema kabisaMkuu kwema!