Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Lkn niko busyBotoz mambo yanasonga!
...............
Lkn niko busyBotoz mambo yanasonga!
Morning my braza, mzima lakini?Goodmorning to you braza
Niko poa. Hofu kwako brazaMorning my braza, mzima lakini?
Endelea kunitafuta utanipata tu, tena mda si mrefu.Good morning Mrs Young blood
Ooop Mrs emmyguy
Nimeshamuona huyu jamaa my sweet, nahisi anatafuta umaarufu kupitia mapenzi yetu.![]()
![]()
Unamchokoza mme wangu
Namshukuru Mungu nipo mzima wa afya tele, habari ya shem lizziebettie!Niko poa. Hofu kwako braza
Yuko poa kabisa. Vipi shemeji yangu mzimaNamshukuru Mungu nipo mzima wa afya tele, habari ya shem lizziebettie!
Morning braza, u mzima lakini?Good morning wakuu..
*____________________*
Yu buheri wa afya, tunamshukuru Mungu kwa pumzi ya bure anayotupatia.Yuko poa kabisa. Vipi shemeji yangu mzima
Iko njema sana, sijui kwako vipi?mmeamkaje makapuku wenzangu
Asubuhi yangu japo haijawa mbaya ila kikubwa nimechelewa kufika ofisini.Nimeamka asubuhi na mapema nikajiandaa tayar kwenda kwa majukumu ya kujenga Taifa...Nikafika ofisin nikawa naongea na binti mmoja mfanyakazi hapo yeye akiwa amekaa mimi nikiwa nimesimama sasa yule binti akawa aniangalii machoni aongei na mimi kama siku zote...Nikaenda kwenye ofisi ingine kuna mchanganyiko wa staff wengi wao wakiwa ni wanawake..Tukawa tunadiscuss jambo fulani lililo nilazimu niende kutoa ufafanuzi kwenye Flip chart...Nikaona minong'ono mingi ya chini chini...Nikamaliza nilichukua nafafanua nikafungua mlango kuelekea ofisini kwangu..Ile nafungua mlango staff mmoja mwanaume tuliozoeana akanifuata akaniambia Mkuu zipi ya suruali iko wazi,ndiyo maana wakina mama kule ndani walishindwa ku-concetrate na ulichokua unaongea....OK NDIYO ASUBUHI YANGU ILIVYOANZA KWA AIBU HIVYO ILA MAADAM WOTE TU WATU WAZIMA HAKUNA SHIDA SANA....ASUBUHI YAKO IMEANZAJE SIKU YA LEO?
Morning too braza lily wizzy.Makapuku. let's put some respekt on our names.
Good morning.
Vyema na haki kumshukuru.Yu buheri wa afya, tunamshukuru Mungu kwa pumzi ya bure anayotupatia.
Pole sana mkuu mi nimeanza vibaya kwa kuacha duka wazi ila yote ni hizi haraka za asubuhi..Asubuhi yangu japo haijawa mbaya ila kikubwa nimechelewa kufika ofisini.