We mkali

Nunua solar,umeme wa mhongo autabiriki siku hiziUmeme umekatika
Cm haina chaji
Mlisongeshe.....
..............
Mkuu karibu chai... MkuuuWe mkali![]()
![]()
![]()
Good morning broLadies n Gentlemen Goodmorning....
Pole sana, unikunbushe nikufanyie mpango wa power bankUmeme umekatika
Cm haina chaji
Mlisongeshe.....
..............
Ntamtumia mkuu, apate japo asilimia 50

Thanks BrotherMorning toooo.....
Warm welcome
Na kwako pia mkuu.Hbrn za asubuh wapendwa!!nashukuru Mungu kumekucha salama!!!!cku njema wakuu!!!
Same to ya braHbrn za asubuh wapendwa!!nashukuru Mungu kumekucha salama!!!!cku njema wakuu!!!
Weka pichaUmeme umekatika
Cm haina chaji
Mlisongeshe.....
..............

Yupo anachungulia chungulia mara chache.
Asante na iwe njema kwako piaMakapuku muwe na siku njema
Ha Haaaa Haaaa.Yupo anachungulia chungulia mara chache.
Nahisi kazi anafanya 24/7 ili mambo yasiharibike ndio maana haonekani
Nyumba za urithi ni sooo
Si ili afidie pale palipopungua wakati wa matumizi ya hela za urithi...Ha Haaaa Haaaa.
Huyu Jamaa Si anabeba box.
Ndio 24/7?????
Kitu tyr
Nunua solar,umeme wa mhongo autabiriki siku hizi
Pole sana, unikunbushe nikufanyie mpango wa power bank