Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Karibu ulipotea mkuukwema kabisa
Karibu ulipotea mkuukwema kabisa
Hahahaa... Hawezi huyo, niko imara.Mkuu youngblood keshakupindua????
ni kweli mkuu mihangaiko mingi ila nimerejea teena ndani ya Makapuku ForumKaribu ulipotea mkuu
....bado....tukimaliza naelekea PariiSalama kabisa Mkuu, umeshatoka Congo?

Mie nipo visiwani japo si Zanzibar.Jamani kuna kapuku toka Zanzibar hapa!
Akiwepo ni pm pliz
Iko poa sana, nawamiss tuAsante kwa kumpa kiti mgeni, asubuhi yako ikoje Jimena my dada!
Njema sana, namshukuru Mungu, asubuhi mvua ilitaka kuniharibia mood....Mkuu ndugu yangu..Asubuhi yako imekaaje?
Mazishi lini Mkuu?....bado....tukimaliza naelekea Parii![]()
Af manuu hayo maneno matatu ya mwanzo sio fumbo kweli???....anyway....Mkuu ndugu yangu..Asubuhi yako imekaaje?
Kwema sana braza, vipi wewe mtumishi?Mkuu kwema!
Ufaransa.....bado....tukimaliza naelekea Parii![]()
Le famile mekubaliana azikwe le jumamoiMazishi lini Mkuu?
Wii PapaaUfaransa.
Poleni sana kwa msiba bana ba Congo.Le famile mekubaliana azikwe le jumamoi
Adimu saaana mkuuukwema kabisa