Makapuku Forum

13. The Neville Brothers ( Gary & Phil Neville )
Gary na mdogo wake Phil ni zao la akademi ya soka ya Man Utd na walitikisa sana katika miaka ya 2000. gary Neville alikuja kuwa nahodha wa Man Utd wakati mdogo wake akiwa nahodha wa Everton,
 
12. Gabriel & Diego Milito
Hawa ni ndugu wawili wa Kiargentina ambao nao walitikisa soka kwa kiasi flani. Wakati Gabriel Milito akitesa na vilabu vya Barcelona na Zaragoza kaka yake Diego Milito alitamba na Inter Milan ya Mourinho.




 
10. Paolo & Fabio Cannavaro
Hawa ni ndugu wawili ambao wote walicheza beki ya kati enzi wanacheza. Paolo alitamba akiwa Napoli kaka yake alitamba akiwa na Napoli, Real Madrid, Juventus na timu ya taifa ya Italy ambao alitwaa Kombe la dunia la mwaka 2006 akiwa Nahodha.

 
Aisee, thanks mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…