Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nasuburia kwa hamu nawewe akuchole kwa kiganja chake

Maana huyu mrembo kwa kutugonganisha hajambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]


ha ahahaha, mimi hawezi kunichora kiganjani wakati moyo anao, akikubali atanichora na uji wa dhahabu sio makinikia. subiri tutakutaarifu.

Halafu, hana kawaida ya kugonganisha sema hapendi kuchezewa akili
 
Back
Top Bottom