Makapuku Forum

Makapuku Forum

Maaaaweeeeeee, hakyanani nilijua tu. Wewe unaniteteaga sana sasa nikajiuliza vipi ujue naumwa na umeona BH anataka kuja uanze kunizibia tena. yalikuwa ni mawazo sasa umenifungua, alikuwa ni anko wangu mwenyewe kabisa.

Ndo maana haipiti nusu saa ananiulizia kama mgeni kafika kumbe anajua alichofanya. Nashukuru kwa taarifa aunt yangu, uzidi kubarikiwa uwe na moyo mwema na ila siku nyiingine hakikisha simu yako haichukui bhana, unaona nilitaka kuchuma dhambi bure kwa kukusingizia. Nisamehe kwa kweli
umeona binamu hivi naanzaje mimi kukufitini jamaan siwezi mzuia asichukue simu binamu ataweza fikili nina makando kando akitaka me nampa jana kashinda nayo kanipa usiku
 
Maaaaweeeeeee, hakyanani nilijua tu. Wewe unaniteteaga sana sasa nikajiuliza vipi ujue naumwa na umeona BH anataka kuja uanze kunizibia tena. yalikuwa ni mawazo sasa umenifungua, alikuwa ni anko wangu mwenyewe kabisa.

Ndo maana haipiti nusu saa ananiulizia kama mgeni kafika kumbe anajua alichofanya. Nashukuru kwa taarifa aunt yangu, uzidi kubarikiwa uwe na moyo mwema na ila siku nyiingine hakikisha simu yako haichukui bhana, unaona nilitaka kuchuma dhambi bure kwa kukusingizia. Nisamehe kwa kweli
Bhinamu kiukweli sijahusika mm simu nimeishikaa saa 4 usiku kulikuwa na sms zinaingiaa sizielewiiii
 
Baba D ujue hayo makiss ni kila sehemu ya mwili si nitakuwa mwekundu mimi jamaan

Ha hahahahah.

giphy.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom