Makapuku Forum

[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mmmmmh!!! HayA hongereni mpendwa[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] kumbe ndio maana BH hakutaki


...first of all ticha: Hajawahi kusema hanitaki
seondly: uko singoland na mimi niko singoland kwa hiyo ninakulike nawe unanilike yaani tunalikeana. Tunaweza kusaidiana kumaliza hiki kiroba ulichonacho na nilichonacho hadi pale tutakapopata mwelekeo sahihi
 
Apo ndo huwa nakukubariii binamu hujawai kuniangushaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…