Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
hapana aisee shanga 700 za nini mtu avae mbili au moja si mauchafu hayo
...mbona anko anasema huwa unazo 30-40? au hakuwa anahesabu zako😵 maana anko wanggu mwanamahesabu sana japo huwa anajichanganya anashindwa kutofautisha kipeo na kipeuo cha S na CM nadhani