Makapuku Forum

Makapuku Forum

f9a98630f73116feb16367cde124d2c8.jpg
 
Asante balozi kwa hii make ni zaidi ya chemsha bongo

Mawazo yangu ....

Hii picha ina connections na watu watatu amabao wanaweza kuwakilisha taasisi zaidi ya moja ...

Nianze na mtu wa mwisho amabaye ndo kavaa mask naweza kumuterm mharifu lakini nyuma yake kuna askari yawezekana huyu jamaa kiburi anakipata kutoka kwa wa nyuma wake ambaye na huyo askari kinamna moja anapokea order kwa kibosilee...

Summary mtu anafanya kitu kulingana na connection aliyonayo ...
 
Wadau kama kawa week end inasonga

Ifuatayo ni picha/michoro yenye tafsiri fulani iliyojificha
Tusaidiane kufumbua
a86bfa9e2bdaafd0ce3ec17a943ebb9e.jpg
Hii ngumu kumeza ...

Ila uwepo wa kitabu kwenye kichwa maana yake kichwa kina mambo mengi ila kisipotumiwa ipasavyo ndo mwishowe mtu anafanya maamuzi yasiyofaa

Au kwamba yawezekana anaona hakina thamani wakati kina thaman
 
Asantee za leo ngumu kumezaa kabisa ila ngoja tutoanee tongotongo ...

Hii kama bint anajilazimisha kujitwisha mzigo hasioweza make kamwili kadogo ila matiti kayatunisha nimerefer sisi tunavyotuna kukabiliana na hali fulan
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ngoja niendelee kucheki CR7 na Chicharito hapa game lishaanza kuchanganya
.....
 
Back
Top Bottom