Makapuku Forum

Hii ni kama inaelezea serikali ya marekani inavyo control uchumi na umwagaji wa damu kupitia ukandamizaji
Pia pesa mwanaharamu
Pesa ni kama shetani ukiwa na pesa nyingi ni km umehifadhi shetani chumbani

Watu hufanya mambo ya kishetani mfano kuuana,kujiuza,kupigana vita shauri ya pesa
Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa Mungu
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…