Makapuku Forum

binamuuu mama mchuchu yupo njiani anakuja lakini mbona kama umepona


Lol! Sijapona jamani, mbona mnainyanyapaa kusikia tu BH anakuja. Yanni fitna zinavyotembezwa hadi najihisi gundu. Eti kuna mwingine kajitolea kumsindikiza, aunt hii ni haki kweli hata kama ungekuwa wewe ndo unaumwa!!!

Anko wangu keshaandaa ulinzi, atakayejidai kumsindikiza tu ataishia getini maana nishachoka sasa, mtu asitembelewe imekuwa nongwa, tena ninaumwa jama
 
Msanii ni kio cha jamii...

Ukiangalia picha vizuri jamaa yuko na gitaa manake ni mtunzi/ muimbaji wa mziki..

Ila usoni kwake kuna kioo ambacho kina picha ya audience/watazamaji ambao ni jamii..

Uso wa mtuu hutoa muonekano mpana wa mtuu hivyo umefanywa kama ndio kioo cha jamiii..

I stand to be corrected..!
 
binamuuu
 
Wengi tunaamini sana kile tunachokiona kuwa kipo sawa kiimtazamo ...hii picha kila kitu kinachooneka kinnaweza au kina maana yake ila ukiviangalia kwa pamoja in general meaning jibu au majibu yapo mengi...
1.sio kila tunachokiona kikiwasilishwa kipo sahih ...apa upotoshaji
2.media japo ndo chanzo kinachoaminika hivyo yatupasa kuvitumia haswa ipasavyo ...ile ncha inayochomoza sio kwamba yanaishia kwwa mmoja laa asha
3.ukiangalia vizur sura ya mtazamaji au mfatiliajii inaonesha kama yuko makini sana /au kakasirika na hii ina maana kubwa
 
Asante kwa chakula cha roho mama,ubarikiwe pia
 
Obe mzee wa saa na smartphone
 
Polee sana ila niamini kila kitu kipo sawa

Vipi mama ashura kaondoka??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…