Makapuku Forum



Hofu uliyonayo nami ninayo, kuwa na hofu sio mbaya maana ndo akili inachaji. Unachoweza tafuta namna ya kuandika a para or 2 halafu ile mi terminologies irahisishe ili isiwe kama maandiko ya 1960s hapo tutapata wengi washiriki.

Itakuwa ni segment nzuri sana, usiiharakie kwa kuwa tu watu tunauliza. Jipe time ya kufanya kilicho kizuri zaidi. Ni kuongezeana maarifa tu na kuifanya Makapuku kuwa ya kipekee faza
 

Nakuunga mkono, kuandaa makala hata ya aya moja tu (a sounding/meaningful para) sio kazi rahisi.

Ninapoweka Muziki na Gitaa zile blah blah ninazoandika-ga kabla huwa naandaa masaa si chini ya matatu na hapo ninakuwa-ga na maandalizi ya wiki nzima niandike nini. Kumbuka huwa naandika J3-Ijumaa

Lengo ni kuifanya Makapuku iwe ni sehemu ambayo baada ya kusogoa kidogo basi kunakuwa na vitu vizuri vya afya ya ubongo.

Tukikutana kunywa supu ya utumbo basi sio mara zote mazunguzo yote yawe utumbo na hata yakiwa utumbo ndo maana utumbo tunakula na ndizi.

Makapuku hutembelewa na wengi wenye malengo tofauti na wanakuja huku tu kwa sababu kuna vitu wanavikosa sehemu nyingine, burudani, elimu, ustadi, mahusiano, siasa, sogozi na taja chochote utakipata hapa na bila kuwasahau wahamiaji haramu, makinikia na smelters
 
 
Kweli mdau
Kutaniani,kubebishana muhimu ila mtu akishusha kitu cha mulisha ubongo afanye kweli

Sio km Shedele alivyotuzuga

......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…