Wakati naheshimu msimamo wako mtaasisi, mimi niko tofauti, wanaopata mimba wapewe nafsi ya kusoma baada ya kuwa wameongeza raia nchini. Na tena hawa ni mfano mzuri kwa wengine. Anyway ni mjadala mpana sana huu na natamani kuwa na muda wa kujadili
Asante kwa maombi na ile kusema tu unakuja yaani tayari viungo vimechangamka, yaani ninajihisi kupona na nimepoteza nguvu zangu kwenda kwa dokta usiku, ilhali wewe maneno yako tu tiba tosha