Makapuku Forum

Makapuku Forum

18527811_1521059047964614_9217621927280863199_n.jpg
 
Yawezekana kapuku mwenzangu ulikuwa bize na kwa njia moja ama nyingine ulizikosa updates na kujua kilichojiri ...sio mbaya tukaona 10 zilizobamba #kapuku_updates kuanzia tarifa muhimu mpaka michezo na ikumbukwe leo ijmaa wapenzi wa simulizi inaendelea .....
 
Umaarufu wa mtu au uzi unarokana na kilichoandikwa na siyo wingi wa like alizonazo mtu
Yaani maneno yako ndo hukaa moyoni kwa mtu likes zako hukaa kwenye profile tu pengine kwenye list ya Top 20

Pia uzi unaweza kuwa na post nyingi kila siku lakini ukafuatiliwa na wachache yaani Kusubscribe mfano nyuzi za The Bold zinafuatuliwa sana kule Jukwaa la Intelligence

Mtu unaweza kuwa na post nyingi na kuwepo kwenye list ya most posts lakini ukazidiwa umaarufu na asiyekuwepo kabisa kwenye list

Mtu unaweza kuwa na maLIKE mengi pengine kunizidi mimi lakini usiwe maarufu

Kwangu mimi hii thread imenisaidia kujifunza mengi pamoja na kupata marafiki wengi hadi kushirikiana nje ya JF.....
Hivyo uzuri wa thread ni kile kilichomo/kinachoandikwa na siyo wingi wa post
..........
Word...
 
maneno mujarabu kabisa. Niongeze nini tena, la. well, wmisho hakuna nukta ngona niiweke.
Hatupo kwa ajili ya kushindana na mtu(Uzi) yoyote .....
uwepo wa huo uzi hawezi kutuzuia kufanya mambo yetu wala kuharibu urafiki/Umoja wetu
Tufabye mambo yetu hata uzi kwa siku ukiwa na kapage kamoja sawa tu ...ilimradi tuna maisha yetu
.
Pia nitafurahi akipatikana mapema mtu wa kuongoza maLIKE badala yangu na ikiwezekana nisiwepo kabisa kwenye list

..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom