Makapuku Forum

Makapuku Forum

4/Jyoti Amge
f1e775865b2cf5e56e348d9cba854a7f.jpg
4ca8749d340b7af6c7e1260585cf4080.jpg

Kazaliwa Desemba 16 1993
Ndiye Star Of American Horror Syory
Anashikilia rekodi ya dunia ya mwanamke mfupi zaidi duniani
Ana tatizo la Achondroplasia
Ni raia wa India mwenye ndoto ya kushinda Tunzo za filamu za Oscar
Ana urefu wa Am 58.4 sawa na inchi 23
.......
 
5/Junrey Balawing
671c1f0e4b5f21f3c10fdf635c9708c9.jpg
1d9759d0d210f00720b94395359108b2.jpg

Ndiye mtu mfupi zaidi duniani aliye hao ila data zangu zinaonesha kuna wababe wengine
Alizaliwa huko Ufilipino mwaka 1993 baada ya miezi michache hakurefuka tena
Ufupi wake umetokana na maradhi mbalimbali ambayo hajawahi kuwekwa hadharani
Ufupi wake unasababisha waonekane dhaifu
Ana urefu wa Am 60 (inchi 24)
......
Duu Kinyume cha Thabiti n huyu
 
Ndiyo. Nimeenda kule kutest zali na kuangalia kulivyo. Wana kasi ya ajabu. Makapuku itabidi tuitishe kikao japo nadhani rais wetu ameshalitolea ufafanuzi wa kutosha suala hili. We have to unite even more...
Kipaumbele cha uzi siyo kuwa na post nyingi yaani kupost upuuziupiuzi tu ili sijui uwe na kasi au post nyingi mfano sijui kupost makorokoro km vile ....5%"(8$*"!? #@2'63?#:#)'&%&$$::;;"%-"#:++#_'

Hatupo kwa ajili ya kushindana na mtu(Uzi) yoyote .....
uwepo wa huo uzi hauwezi kutuzuia kufanya mambo yetu wala kuharibu urafiki/umoja miongoni mwetu

Tufanye mambo yetu hata uzi kwa siku ukiwa na kapage kamoja sawa tu ...ilimradi tuna maisha yetu nje ya Jf na yanasonga
.......
 
4/Jyoti Amge
f1e775865b2cf5e56e348d9cba854a7f.jpg
4ca8749d340b7af6c7e1260585cf4080.jpg

Kazaliwa Desemba 16 1993
Ndiye Star Of American Horror Syory
Anashikilia rekodi ya dunia ya mwanamke mfupi zaidi duniani
Ana tatizo la Achondroplasia
Ni raia wa India mwenye ndoto ya kushinda Tunzo za filamu za Oscar
Ana urefu wa Am 58.4 sawa na inchi 23
.......
shukriya Bitoz
sikuwahi kujua hili
 
Kipaumbele cha uzi siyo kuwa na post nyingi yaani kupost upuuziupiuzi tu ili sijui uwe na kasi au post nyingi

Hatupo kwa ajili ya kushindana na mtu(Uzi) yoyote .....uwepo wa huo uzi hawezi kutuzuia kufanya mambo yetu wala kuharibu urafiki/Umoja wetu
Tufabye mambo yetu hata uzi kwa siku ukiwa na kapage kamoja sawa tu ...ilimradi tuna maisha yetu
.......
Ule hautadumu coz hawana chochote shida yao kubwa ni like tu basi
 
Kipaumbele cha uzi siyo kuwa na post nyingi yaani kupost upuuziupiuzi tu ili sijui uwe na kasi au post nyingimfano sijui #@%&$$::;;"%-"#:++#_'

Hatupo kwa ajili ya kushindana na mtu(Uzi) yoyote .....uwepo wa huo uzi hawezi kutuzuia kufanya mambo yetu wala kuharibu urafiki/Umoja wetu
Tufabye mambo yetu hata uzi kwa siku ukiwa na kapage kamoja sawa tu ...ilimradi tuna maisha yetu
.......
Kwelii kabisa mkuu
 
Kipaumbele cha uzi siyo kuwa na post nyingi yaani kupost upuuziupiuzi tu ili sijui uwe na kasi au post nyingi mfano sijui kupost makorokoro km vile ....5%"(8$*"!? #@%&$$::;;"%-"#:++#_'

Hatupo kwa ajili ya kushindana na mtu(Uzi) yoyote .....
uwepo wa huo uzi hawezi kutuzuia kufanya mambo yetu wala kuharibu urafiki/Umoja wetu
Tufabye mambo yetu hata uzi kwa siku ukiwa na kapage kamoja sawa tu ...ilimradi tuna maisha yetu
.......

maneno mujarabu kabisa. Niongeze nini tena, la. well, wmisho hakuna nukta ngona niiweke.
Hatupo kwa ajili ya kushindana na mtu(Uzi) yoyote .....
uwepo wa huo uzi hawezi kutuzuia kufanya mambo yetu wala kuharibu urafiki/Umoja wetu
Tufabye mambo yetu hata uzi kwa siku ukiwa na kapage kamoja sawa tu ...ilimradi tuna maisha yetu
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom