BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Na bado hawajatetereka wamefika mahali wana nyumba zinahimili na kupunguza Athari za maafa huku kwetu tunafahamu kabisa maeneo yenye uwezekano mkubwa wa kukumbwa na matetemeko mafuriko lakini hata uokoaji ni duni leave alone materials zinazotumika kujenga infact hatujifunzi!!
ok pamojaKwema sana Archduke...
Lishe +mazoezi +positive thinking.
Hongera zao
Wanaona mbalii sana
Amazing
Naamini amekusamehe namwamini shemeji yako Shululu hana makuukweli mama nilijua wewe tu wanisamehe
Inavutia sana ukiifuatilia
Uko sahihi mkuu, ila binafsi naona uzi maarufu ni ule uliofuatiliwa sana na kuchangiwa na watu wengi! Kwa sasa sasa nadhani hakuna kama Makapuku! Umaarufu wa mtu ni tofauti na umaarufu wa uzi japo vinategemeana... Ule uzi wa ma-likes unaweza kuwa maarufu ila hauwezi kutoa watu maarufu!Umaarufu wa mtu au uzi unarokana na kilichoandikwa na siyo wingi wa like alizonazo mtu
Yaani maneno yako ndo hukaa moyoni kwa mtu likes zako hukaa kwenye profile tu pengine kwenye list ya Top 20
Pia uzi unaweza kuwa na post nyingi kila siku lakini ukafuatiliwa na wachache yaani Kusubscribe mfano nyuzi za The Bold zinafuatuliwa sana kule Jukwaa la Intelligence
Mtu unaweza kuwa na post nyingi na kuwepo kwenye list ya most posts lakini ukazidiwa umaarufu na asiyekuwepo kabisa kwenye list
Mtu unaweza kuwa na maLIKE mengi pengine kunizidi mimi lakini usiwe maarufu
Kwangu mimi hii thread imenisaidia kujifunza mengi pamoja na kupata marafiki wengi hadi kushirikiana nje ya JF.....
Hivyo uzuri wa thread ni kile kilichomo/kinachoandikwa na siyo wingi wa post
..........
Wana maana yao na huenda ina saidia sana katika jamii yao hizo ni mila na desturi zao ni muhimu kuzienzi
Barikiwa mumy
Nimefurahia sana habari za Japan ubarikiwe mkuu BitozDID YOU KNOW ?
Facts about Japan country....
Japan na Indonesia zimo katika ile inaitwa "The Ring of Fire" yaani mipaka ambamo tectonic plates ama zinakutana (convergence zones) au zinaachana (divergence zones); na hata kupishana. Mabadiliko ya ghafla ya presha yanayotokana na misuguano ya plate tectonics hizi ndiyo husababisha mavolkeno makali na matetemeko ya ardhi ya mara kwa mara katika mataifa yote yaliyo katika ukanda huu wa moto. Na matetemeko makali yanapotokea baharini na kuinua sehemu ya bahari tunapata tsunami kama ile iliyoua maelfu ya watu mwaka 2004 Indonesia na ile ya mwaka 2011 iliyoharibu mpaka mitambo ya vinu vya nyuklia vya Fukushima kule Japan.
Nitalipa hakika atoke dunia ya leo watu wanapenda vitu kuliko watu ukweli Mungu alituumba ili tupende na kupendwa ila mambo yamebadilika sana Mungu atusaidia after all hata hiyo bahati nasibu Mungu kakupa ndio mlango wa gereza umefunguka inabidi kusoma alama za nyakati Mungu hutumia watu kutufungua
Nunua overall la plastic ulitumie kujikinga na mapovu. Au kuwa ngangari tu shemu. Dunia hii ukiwa mnyonge mnyonge utaonewa sana!We ongea tu mwisho povu namwagiwa mie Shem
Ohoooo
Wengine tuna za kunguni au ile misemo ya wahenga ya "kunya anye kuku akinya bata kaharisha"