Acha tu anko, kule kitchen ilikuwa shida, tutateta maana huu usajiri mwaka huu bila MO na Manji kuingilia lazima uwe na wake wanne mjombaangu si wa kispoti..
Turudi kwenye lile goma la Kolza Wangu baba! Lile kaimba Chezi Ntemba na Defau usimsahau na Suke Chile, nitalipandisha siku moja hapa