Mmoja kati ya makipa bora kuwahi kutokea
Walimuita mikono saba lakini akafungwa goli mbili laini na Ronaldo de Lima mechi ya Fainali WC 2002...Brazil akabeba ndoo
Alikuwa na skendo kibao za kutembea na/kubaka vigori
.....
Mmoja kati ya makipa bora kuwahi kutokea
Walimuita mikono saba lakini akafungwa goli mbili laini na Rinaldo de Lima mechi ya Fainali WC 2002...Brazil akabeba ndoo
Alikuwa na skendo kibao za kutembea/kubaka vigori
.....
Pia alikuwepo langoni wakati Man Utd ikifanya come back ya kihistoria jioni ile ya Jumatano katika dimba la Nou Camp, katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 1999.