Makapuku Forum

10/Sierra Leone
Kuna mtu hazijui almasi za damu? Linapatikana huko
Ni vita za wenyewe kwa wenyewe zikichochewa na wamagharibu/wazungu wenye maslahi yao huko
Wizara yao ya madini ndo inasimamia ambalo kuna Mines and Minerals Act 2009 lakini mafisadi bado wanafanya mambo kiMangungo
Kwa mwaka huzalisha almasi Carats 609,000
..........
 
9/Namibia
Inapatikana huko Kusini mwa Afrika
Almasi hupatikana kwa wingi huko Luderitz ambapo zamani lilikuwa ni Koloni la Ujerumani na kuitwa German South West Africa
Kwa mwaka huzalisha Carats 1,600,000 za almasi
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…