Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Kwani mi nimthema thioo?!Umewaza nini
Mbona unakodoa huo ndio ukweli
Kwani mi nimthema thioo?!Umewaza nini
Mbona unakodoa huo ndio ukweli
ThitakiiiiWachawi hawajitangazagi, usimuache asee
Manji kurudi au? hii habari si njema kwa wanamsimbazi!
Basi una sababu nyingine, sio hiyo ulotoa!Thitakiiii
Ahsante mkuu kwa updates za mfungoMfungo 18 leo, Ramadhan Kareem
Kukodoa kwako kuna ashiria una shakaKwani mi nimthema thioo?!
Hapana ni mshangao tuKukodoa kwako kuna ashiria una shaka

Nzuri mkuu,siku mpya imeanza hiyooHabarini za asubuhi familia pendwa ndani ya JF?
SawaHapana ni mshangao tu![]()
Hakika na tunazidi kuupunguza mfungoNzuri mkuu,siku mpya imeanza hiyoo
Utamuumiza kaka yetu, sio kwa bandiko lile alowekaga kukusifia![]()
is up to you
Yeah naona unaondoka haraka harakaHakika na tunazidi kuupunguza mfungo
Kweli 19, typing error ila nsha- editAhsante mkuu kwa updates za mfungo
Kuna gazeti limeandika leo ni 19
