Basi subiri siku Cheusi Mangala atakapokuja kutambulishwa rasmi kwako akiwa na L. junior (K. mdogo wa D). Patachimbika eeeh!? Ila wanawake wa Kisambaa hawajulikani kwa ukali. Ingekuwa Mara kule tungekuwa na wasiwasi!
shemela Emmy nimekupenda bure jamaan ujue wanaona rahisi kutaka kuvunja ndoa ya watu hawajui me na lee tumeijenga vipii mpaka tupo hapa mangapi tumevumiliana Mungu akutunze shemela