Hata wengine biashara tunazo; na tunatambua kuwa muda ni mali bali tunaomba tu uwe unakaa kaa hapa japo kwa muda kidogo ili angalau uweze kujibu madukuduku ya wapendwa wako. Hii kuja na kukimbia wala haipendezi! Halafu avatar naona zinazidi kuwa "tamu" kila kukicha. Safi sana!!!