Makapuku Forum

Ni vizuri kuelimishana kuliko kushushuana
Km Lee anavyotupa darasa la kitabibu/kibailojia
.......
Asante mkuu..!

Ila kuna jamaa mfaransa anasema ile mihili 3 ni kiini macho tuu hasa kwa katiba kama Tz..

Kwa katibu kama Tz,

Rais.
Bunge.
Mahakama.

Hebu anangalia influncial power ya Rais kwa mahakama, kuanzia jaji mkuu hadi huko chini yeye ndio anaamua nani awe nani..

Ukienda bungeni kuna cabinet na wabunge wake wa rulling party..

Bado uhitaji wa Mabadiliko ya katiba ni mkubwa...
 
Pole na asante kwa uungwana wa kuomba radhi. Ndiyo raha ya makapuku hii. Let's move forward now...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…