Makapuku Forum

Nimekusoma.
 
1982 - Fahd anakuwa Mfalme wa Saudia punde baada ya kifo cha kaka yake, Khalid.

Jina lake kamili ni Fahd bin Abdulaziz al Saud
Alifariki 2005 Agosti
Ni mtoto/mjukuu wa mwasisi wa Taifa hilo Al Saud ambaye ndio chimbuko la jina Saudi Arabia ambalo kibongobongo ni Waarabu wa Saud yaani wanachi wake(siyo tafsiri kamili)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…