Kuna walio aga kabisa kuwa watakuwa chumban na wenzi wao mfano Th Name yeye aliweka bayana kabisa kwamba hatakuwa hewani kwa mda maana kuna swala watakuwa wanashughulika nalo kati yake na lizziebettie
Alinifurahisha kusema amewapa nafasi ya kumshauri na kumkosoa kupitia jf, mnapoguswa na anachosema/kufanya na kuanza kumjadili ni kumpa nafas ya ku make money na kuwa popular