Sidhani kama ni vita, nafikiri ni tofauti ndogo tu za mitazamo..tutagombania nini hasa kwenye mitandao ya wenyewe#Bado hii vita ina exist?
hahaha niaje boss.I'm also back kapukuz
Wewe sio kapuku?Sidhani kama ni vita, nafikiri ni tofauti ndogo tu za mitazamo..tutagombania nini hasa kwenye mitandao ya wenyewe#
Siwezi kujipachika hiyo jinaWewe sio kapuku?
Yuko poa usijali. ..mlezi nipoMkuu kwani umekwazika Na sifa nilizokumwagia?
Mzee upo??Wewe sio kapuku?
Karibu mkuu.Peopleeeeeeee.
I'm back!
umemjibu kistaarabu sana manHongera
Sikuiona thread yako
Nakupongeza kwa kupoteza muda kunidiscuss.....
Mimi sio mwenzako na huwezi kuwa km mimi
Usikonde nitakupa zawadi ya katoni ya maji ya Kapuku Pure Drinking Water unywe ........
MamboWote tumejituma vilivyo!
Siku ilikuwa poa brother mungu anasaidiaKaribu mkuu.
Muungano day inasemaje
Man CTY na atletiko wanakufaKivumbi hiki man city vs real madrid
Atletico madrid vs bayen munchen
Patachimbika hapa
Poa karibu mkuu.I'm also back kapukuz
Mambo fresh kabisaaNawasalimu makapuku wenzangu wote humu ndani
Powaaa shemMambo