ok, nani kamtegea mwenzake?![]()
![]()
![]()
tumeimaliza sasa.
Wote tumejituma vilivyo!ok, nani kamtegea mwenzake?
unajua kazi ya usafi si vizuri kutegeana.Wote tumejituma vilivyo!
safi...unajua kazi ya usafi si vizuri kutegeana.
Yes! Vizuri kusaidianaunajua kazi ya usafi si vizuri kutegeana.
kama ndio hivyo hakika siku yenu ilifana sana na mmeinjoy...Yes! Vizuri kusaidiana
Tumeinjoy sana, hapa tunaenda kupikakama ndio hivyo hakika siku yenu ilifana sana na mmeinjoy...
Uko poa mkuu.Wakongwe wenyewe point hawana ni dharau tu wakati wote sema siku hizi wamepunguza kidogo
I'm also back kapukuzPeopleeeeeeee.
I'm back!
Mkuu kwani umekwazika Na sifa nilizokumwagia?Hongera
Sikuiona thread yako
Nakupongeza kwa kupoteza muda kunidiscuss.....
Mimi sio mwenzako na huwezi kuwa km mimi
Usikonde nitakupa zawadi ya katoni ya maji ya Kapuku Pure Drinking Water unywe ........
Bado hii vita ina exist?Wakongwe wenyewe point hawana ni dharau tu wakati wote sema siku hizi wamepunguza kidogo