Mmmh!
MITHALI 8
INASEMA:-
21."Mauti na uzima vino katika uwezo was ulimi, nao waupendao watakula matunda take"
Kamwe usijilaani mwenyewe
ZABURI 34
13.Uzuie ulimi wako na mabaya, na midomo yako na kusema hila''
MITHALI 12
18."Ulimi wa mwenyehaki no afya"
Kila mtu anapenda lugha nzuri, tamu na maneno ya kutia moyo, uongeayo kwa ulimi wako ndiyo yatakufanya watu wakusogelee au kuwakimbiza.
Mungu atusaidie kwa polite tunalojinenea vibaya tufanye toba na kuanza upya.... IPO njia.