Makapuku Forum

Ndo maana wameweka mawasiliano
 
Mchana unaendeleaje Makapuku? Mungu Anatupenda!
1 YOHANE 4

19.SISI TUNA UPENDO KWA SABABU MUNGU ALITUPENDA KWANZA.

19.WE LOVE BECAUSE HE FIRST LOVED US .


MAOMBOLEZO 3

21.Lakini nakumbuka hili jambo moja nami ninalo tumaini

22.Kwamba fadhili za Mwenyezi Mungu hazikomi,na huruma zake hazina mwisho.

23.Kila kunapokucha ni mpya kabisa,uaminifu wake ni mkuu mno.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…