Nimekuwa nikitafakari kuhusu Makapuku Forum Na huyu anayejiita mwanzilishi Mkuu Bitoz.
Bandiko hilo la Makapuku Forum limenifanya sasa nijihisi nipo Jamii Forum kutokana Na kupanda ghafla Kwa idadi ya Likes Na Trophy points.
Natanguliza shukurani kwa mwanzilishi lakini ni vema nieleze niliyotafakari.
Katika tafakari nimehisi huweza kuwa Bitoz alikuwa member mkongwe kuliko Faizafoxy humu JF ila akasahau password. Hii ikasababisha ajipatie ID nyingine Hali iliyosababisha kuanza upya kusaka umaarufu (maana JF ili uchukuliwe siriasi zinaangaliwa likes Na Trophy) Kwa kujiita kapuku Na kusaidia Makapuku wengineo ambao wanakuwa mtaji kwake wa kumpatia Trophy Na likes.
Hayo tuu Kwa sasa. Kabla hujapost kujibu hoja au kutoa mchango wako, LIKE kwanza.