lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Hayanjoo zipooo
Hayanjoo zipooo
OkayNiko salama
inapendeza mkuuNdiyo mkuu...sikukuu
Asante shemu! Hapa tumechoka kweli maana tulianza na kudeki.Pole sana Shemeji yangu kwa shughuli uliyokuwa nayo na ndugu yangu Th Name naamin mtakuwa mmeshamaliza kupasi na kupanga nguo zote maana yeye ndo kazi aliyosema mtakuwa chumbani mkiifanya..
hakika...hapa kazi tuKabisa kijana hataki utani kazi kazin tu...
Ha haaa..... ! Mkuu swalama????Makapuku habari zenu, embu tupeane mchongo niliounyaka kitaa fulani hivi...
Kuna bi mdashi mmoja kitaa ambaye sasa tunapumua kutomwona kwa kuwa alikuwa mtu wa mizinga hadi wakati mwingine anakupiga mzina mara tatu kwa siku kwa kutokuwa na kumbu kumbu sawa sababu ya maisha kubana...poa tumemtoa tu kimtindo kwa kuwa ana wanawe Mariam na Anifa wana tunaponea hapo...
Sasa juzi kati baada ya bi mdashi kutoonekana kijiweni ikabidi tuibukie maskani kwake kuuliza kulikoni, kufika pale tunamkuta bi mkubwa ndo anajiandaa kutoka, Kiba mshkaji wetu anamuuliza 'Bi Mkubwa' vipi kitaa umekauka siku hivi...kageuka kututizama, kaweka chini kapu lake na kuanza kutupa mchongo...sikieni wana....
''Baada ya kupata elimu ya ujasilia mali iliendeshwa kijijini kwetu niliamua kujikusanya kwa kidogo nilichokuwa nacho na kuamua kujiingiza kwenye mradi wa ufugaji samaki'' akaendelea kusema kwamba hakupata ugumu namna ya kuanza kwa kuwa walikuwa na bwawa tayari ambalo zamani mdogo wake aliliandaa kufugia samaki ila akaachana na wazo hilo baada ya kupata mchongo mwingine wa boda boda!
Akasema ni rahisi tu kwa kuwa mahitaji ya ufugaji wa samaki aina ya kambale aliochagua kufuga yeye ni rahisi kulinganisha na aina nyingine...Mahitaji hayo ni:-
• Pumba ya mahindi
• Pumba ya ngano au mpunga
• Dagaa sadolini 1.
•Soya.
•Mashudu ya pamba au alizeti.
Mwana mwingine akamuuliza kwani unaandaaje chakula hicho, ndipo bi mdashi akasanuka kwamba anachofanya ni ku:-
• Changanya malighafi hizo kwa pamoja.
• Saga hadi zilainike.
• Kanda kama vile unga wa kutengenezea chapati.
• Weka kwenye mashine ya kusaga nyama au kutengenezea tambi.
• Anika kwenye jua la wastani.
• Baada ya kukauka, vunja vunja kwenye vipande vidogo vidogo hasa kwa kuzingatia umri wa samaki unaokusudia kuwalisha.
• Tumia lishe hiyo kwa samaki mara tatu kwa siku.
Ila kikubwa yeye alifanya kwanza utafiti kujua wateja wake kabla ya kuingia kwenye aina hii ya ufugaji...
Nafikiri ni aina nzuri ya kujiongezea kipato cha ziada hasa ukizingatia msumu huu wa mvua mvua tulionao kwa sehemu kubwa ya nchi...
Cheers!
Pole sana Shem wangu kwa kazi ngumu hizo...Asante shemu! Hapa tumechoka kweli maana tulianza na kudeki.
Ha haaa..... ! Mkuu swalama????
Cheers tooo braza
Haya ndiyo mambo yenyewe.Makapuku habari zenu, embu tupeane mchongo niliounyaka kitaa fulani hivi...
Kuna bi mdashi mmoja kitaa ambaye sasa tunapumua kutomwona kwa kuwa alikuwa mtu wa mizinga hadi wakati mwingine anakupiga mzinga mara tatu kwa siku kwa kutokuwa na kumbu kumbu sawa sababu ya maisha kubana...poa tumemtoa tu kimtindo kwa kuwa ana wanawe Mariam na Anifa wana tunaponea hapo...
Sasa juzi kati baada ya bi mdashi kutoonekana kijiweni ikabidi tuibukie maskani kwake kuuliza kulikoni, kufika pale tunamkuta bi mkubwa ndo anajiandaa kutoka, Kiba mshkaji wetu anamuuliza 'Bi Mkubwa' vipi kitaa umekauka siku hivi...kageuka kututizama, kaweka chini kapu lake na kuanza kutupa mchongo...sikieni wana....
''Baada ya kupata elimu ya ujasiria mali iliendeshwa kijijini kwetu niliamua kujikusanya kwa kidogo nilichokuwa nacho na kuamua kujiingiza kwenye mradi wa ufugaji samaki'' akaendelea kusema kwamba hakupata ugumu namna ya kuanza kwa kuwa walikuwa na bwawa tayari ambalo zamani mdogo wake aliliandaa kufugia samaki ila akaachana na wazo hilo baada ya kupata mchongo mwingine wa boda boda!
Akasema ni rahisi tu kwa kuwa mahitaji ya ufugaji wa samaki aina ya kambale aliochagua kufuga yeye ni rahisi kulinganisha na aina nyingine...Mahitaji hayo ni:-
• Pumba ya mahindi
• Pumba ya ngano au mpunga
• Dagaa
•Soya.
•Mashudu ya pamba au alizeti.
Mwana mwingine akamuuliza kwani unaandaaje chakula hicho, ndipo bi mdashi akasanuka kwamba anachofanya ni ku:-
• Changanya malighafi hizo kwa pamoja.
• Saga hadi zilainike.
• Kanda kama vile unga wa kutengenezea chapati.
• Weka kwenye mashine ya kusaga nyama au kutengenezea tambi.
• Anika kwenye jua la wastani.
• Baada ya kukauka, vunja vunja kwenye vipande vidogo vidogo hasa kwa kuzingatia umri wa samaki unaokusudia kuwalisha.
• Tumia lishe hiyo kwa samaki mara tatu kwa siku.
Ila kikubwa yeye alifanya kwanza utafiti kujua wateja wake kabla ya kuingia kwenye aina hii ya ufugaji...
Nafikiri ni aina nzuri ya kujiongezea kipato cha ziada hasa ukizingatia msumu huu wa mvua mvua tulionao kwa sehemu kubwa ya nchi...
Cheers!
Asante shemPole sana Shem wangu kwa kazi ngumu hizo...
Mzee wa movies hahahaaMkuu nimetulizana sana cina haja na mke wa mtu, nina mke wangu ninampenda ananipenda, macho yangu hayatamani mwingine wengine rafiki zangu na mashemu na madada tu
cc
Ameizing
Lizzie
Nahrene
Linamo
Ximena
Valentina
![]()
Patience223
![]()
![]()
Nimemshangaa sana kama miss chaga yoko poa kinomaaaaMkuu ila ukipambana na hao watu kwa point utagundua ni wepesi sana na hatowachukia kabisa..