Makapuku Forum

Bitoz, jamii yetu inashida sana hapa upande wa kujitambua

Pamoja mvuvi wa kambale
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] nilijua haupo huku


[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kwa hiyo unanisema kisa sipo. Je, unayosema ni ya kweli au unahisi tu?

Kwanini unasambaza taarifa za uongo? Ili iweje. Nyagei sijui bagei akija hapa umwambie pia ajiheshimu. Gademuu.
 
Kwangu hiyo habari ya wafungwa kutoroka ndo habari iliyonivutia
Mara wafungwa waliofungwa kionevu wakirudi uraiani hujipanga kulipiza hapo sasa...
.....
 
salama mchawi wa sumbawanga
Aisee, mbona hapa sielewi
[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Mke wa mchawi u mzima ??

Mchawi wako kaamkajee

[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Nawaooonaaa nawaogopaaaa

Nyie sio wenzetu[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Mi simtaki tena

Siwezi kuishi na mchawi mid

Nashukuru alivyojisema mwenyewe

Kwani kuishi nae mpaka uwe mchawi ??

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Mama mchawi nakuonaaa

Mchawi ni shedede sio mie asee

[emoji57] [emoji57]
 
Wazungu wapuuzi sana
Walipokuja Afrika pia walishangaa jinsi dada na mama zetu walivyojaaliwa makalio makubwa
Wakawachukua wanawake wawili au watatu wa Kisauzi akiwemo Sarah Baartman ambaye alikuwa na makalio makubwa na uke wenye mashavu makubwa na kwenda kuwaweka Ulaya kwenye show room uchi wa mnyama ili kila mtu ajionee maumbile yao na kufaidj
Wametudhalilisha sana enzi za ukoloni

.
.
.
Ahsante kutuletea facts mdau
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…