Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Asante kwa ufafanuzi shemeji. Misemo mingine huku Koromije haifiki!

Asante kwa ufafanuzi shemeji. Misemo mingine huku Koromije haifiki!

Asante mkuuLeo katika Historia:
Sina la ziada, muwe na Jumapili njema.
pamoja sanaLeo katika Historia:
Sina la ziada, muwe na Jumapili njema.
1987 - Diane Abbot, Paul Boateng na Bernie Grant wanakuwa wabunge wa kwanza weusi kuchaguliwa katika Bunge la Uingereza.
Wewe uliyewapamba hawa maharusi haki ya nani Mungu Anakuona!![]()
wamependeza lakini

Kumbe unazuga et
OhooooShe got it from her mama. Blessed family...Baadaye Makapuku...![]()
![]()
![]()
![]()
Maana ni mojaMakapuku bwana
Imani za ushirikina ni janga la kitaifa na ni kipingamizi kikubwa cha maendeleo yetu. Kila kitu ni Ushirikina. Huku Koromije hata ukigongwa na treni watasema umechukuliwa msukule. Imagine vitoto vile vya Lucky Vincent. Badala ya kutafuta mbinu yakinifu na kuhakikisha kuwa ajali kama ile haijirudii tena (mf. kila mtoto awe na seat, mikanda ya lazima, ukaguzi...) sisi ni uchawi tu...Na tulivyo na imani za kishirikina km za "bwana yule"
Eti ajali ya Lucky Vincent utasikia wachawi na mvua hawapatani hivyo ni msimu wa makafara ya barabarani
Hata ajali ya basi kuteketea Butiama ni kafara la damu
![]()
![]()
![]()
.......
Mimi wala sishupalii... Nimesema tu tunaangalia na kusikiliza..... Ila huo ushemeji uko Kivipi ? Ukitueleza sio mbayaKwani VP ndugu??!!!
Mbona unaushupAlia sana ushemeji wetu?!
Nijibu please
Maana nyingine ya Kapukumakabwela maana yake nini??
Pita hiviMimi wala sishupalii... Nimesema tu tunaangalia na kusikiliza..... Ila huo ushemeji uko Kivipi ? Ukitueleza sio mbaya

2010 - Mashindano ya Kombe la Dunia la kwanza kufanyika Barani Afrika, yanafanyika huko South Africa kwa ufunguzi baina ya Wenyeji Afrika ya Kusini dhidi ya Mexico.
Mechi hiyo iliisha 1-1. Ambapo Siphiwe Tshabalala alikuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika michuano hiyo!!
Njia hio inaelekea wapi?Pita hivi
![]()
Ulifanyika tu ukaguzi wa School buses siku mbili tatuImani za ushirikina ni janga la kitaifa na ni kipingamizi kikubwa cha maendeleo yetu. Kila kitu ni Ushirikina. Huku Koromije hata ukigongwa na treni watasema umechukuliwa msukule. Imagine vitoto vile vya Lucky Vincent. Badala ya kutafuta mbinu yakinifu na kuhakikisha kuwa ajali kama ile haijirudii tena (mf. kila mtoto awe na seat, mikanda ya lazima, ukaguzi...) sisi ni uchawi tu...
Asante musolini kwa leo katika historiaLeo katika Historia:
Sina la ziada, muwe na Jumapili njema.
Na samehaya maghorofa usambaani yamejaa ndani ndani huko milimani
na same pia basi usambaani nje yamepakwa chokaa nyeupeNa same
Shukrani wakuuAsante mkuu
pamoja sana
Refa alikuwa Howard Webb wakati De Jong akiruka Kung Fu style kifuani kwa Alonso.Point za kwenye msimamo siyo halisi![]()
![]()
Sauzi iliambulia aibu baada ya kutolewa mapema![]()
![]()
Mwisho wa siku Hispania akabeba ndoo kwa kumpiga Uholanzi 1:0 baada ya game kisha kwa sare tasa na kuongezwa dk 30 Iniesta alafanya yake
Nigel de Jong anakumbukwa kwa kumtandika mtu teke kifuani lakini hakuchezea umeme
........