Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Nashukuru kiongoziAsante musolini kwa leo katika historia
Nashukuru kiongoziAsante musolini kwa leo katika historia
CjuimieNjia hio inaelekea wapi?
Asante sweetheart
Duuu1955 - Watazamaji 83 wa mbio za za magari wanafariki Dunia huku 100 wakijeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika mashindano ya 24 hours of Le Mans.
Inakuwa ni ajali iliyoua watazamaji wengi katika historia ya mashindano ya magari.
Asante mkuuLeo katika Historia:
Sina la ziada, muwe na Jumapili njema.
We si ndo umeniambia jamaniCjuimie
Huo ni mchezo wa akina Tumosa na Shunie..... Vp Shululu mbona sikuelewi?
kwann ucmuelewe katoa taarifa ameuchezaAmina baba watoto barikiwa piaView attachment 522202Sina la ziada kutoka magazetini, nawatakieni jumapili njema Mungu awabariki
Asante mkuu kwa udhamini mnono wa shuny nke ya pedeshee lee muntu ya peremende
pedeshee Lee mutu ya maperemendeMke mweee mamboBaba D umeamkaje jaman, nimewahi kuingia nisome story kumbe hamnatusamehe jamaan adhabu uliyotupa ni kubwa
Jamani mbona anahojiwa sanana rede vipii shemela haujacheza rede ya chupa, kimama je na kibaba bilw kisahau kombolela

Kinakuuma nn mke mweeenamshkuru Mungu sema tu kuna kitu kinaniuma ila ni kawaida tu hofu kwako tu Baba D
Nambie mke mwee![]()
![]()
pedeshee Lee mutu ya maperemende
Itoke wapiiiHabari ya leo shemela,hadithi leo haipo![]()
![]()