Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
shemela shululu etiPole pole shemeji. Ugawiwe nini tena jamani? Kaa mbali na makuwadi please!
shemela shululu etiPole pole shemeji. Ugawiwe nini tena jamani? Kaa mbali na makuwadi please!
na mimi mama yakeAnafanana na nani
Ni wewe shemela ndiohivi ulimaanisha ni mimi shemela![]()
Kweliii mkuuUkistaajabu ya Okwi na Thimbwa ......utayaona ya Ngassa na Vyura Fc
Bongo tunachoweza ni siasa na pengine sex tu mpira hatuuwezi ndio maana Stars inanyanyaswa hata na Lesotho...afadhali Wakenya wanajulikana kwa riadha
Sisi burudani ndo kidogo tunaweza mfano Big Brother Africa na muziki
Tuwekeze kwenye siasa zetu za porojo michezo siyo fani yetu
......
Aiseena mimi mama yake
Ukifika hapo panatisha na hao jamaa ni ngangari kuweza kutoroka. Wengi wanaamini kwamba walikumbwa na mkondo wa maji wakamezwa na kwenda kutupwa bahari kuu kuwa chakula cha papa...1962 - Wafungwa Frank Morris, na ndugu wawili Clarence na John Anglin wanakuwa wafungwa pekee kufanikiwa kutoroka katika Gereza la kisiwa la Alcatraz huko Marekani.
Gereza la Alcatraz lipo kisiwani na limezungukwa na maji yenye baridi kali na kina kirefu sana lakini Wafungwa hawa walifanikiwa kutoroka na hawakuwahi kuonekana tena.
Licha ya msako mkali wa kwenye maji, ardhini na anga wafungwa hawa hawakuwahi kupatikana tena, licha ya tetesi kudai walifanikiwa kutoroka na kwenda Brazil ila kuna wengine wanaamini wafungwa hao walikufa kutokana na baridi kali ya maji japo hakuna maiti iliyowahi kupatikana.
HujakoseaHuyo ndiye D mwenyewe?
Hongera zao1987 - Diane Abbot, Paul Boateng na Bernie Grant wanakuwa wabunge wa kwanza weusi kuchaguliwa katika Bunge la Uingereza.
Leo katika Historia:
1937 - Great Purge: Soviet Union chini ya Kiongozi wake Joseph Stalin wananyonga Wanajeshi 8 ambao walikuwa ni viongozi ndani ya Jeshi la Nchi hiyo!
AiseeUkifika hapo panatisha na hao jamaa ni ngangari kuweza kutoroka. Wengi wanaamini kwamba walikumbwa na mkondo wa maji wakamezwa na kwenda kutupwa bahari kuu kuwa chakula cha papa...
Mimi pua tuna mimi mama yake
Cheka shemeji yangu cheka. Happiness is everything!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
umejua kunichekesha da