Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji38] [emoji38] [emoji38]shemeji wewee uwiiiiii hatareee [emoji38] [emoji38] [emoji38]Relax amigo. Mara mlinzi. Mara dalali. Mara kuwadi. Mara...Pick one job and do it well. Unazingua!
[emoji38] [emoji38] [emoji38]shemeji wewee uwiiiiii hatareee [emoji38] [emoji38] [emoji38]Relax amigo. Mara mlinzi. Mara dalali. Mara kuwadi. Mara...Pick one job and do it well. Unazingua!
Sana, Angalia Zambia walivyojipanga kwa sasa aiseeHakika tuna safari ndefu sana!!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23]yaani mkeo ana maleria we unachekelea eti [emoji23] [emoji23]
[emoji57] [emoji57]Weee mchekee
[emoji35]Usinitolee mijichooo
Unapenda ee?!Tuombe Mungu
[emoji120]Hakika umenena
yupo njiani anakuja shemela naomba Mungu amlete wa kikeAnastahili mdogo wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] soka LA bongoSimba Sc wanachekesha sana, Okwi wa nini sasa? Badala ya kujikita kutafuta damu mpya wao wamekariri maisha na Okwi wao.
Anyway, asante kwa Magazeti Mkuu!
Ukistaajabu ya Okwi na Thimbwa ......utayaona ya Ngassa na Vyura FcSimba Sc wanachekesha sana, Okwi wa nini sasa? Badala ya kujikita kutafuta damu mpya wao wamekariri maisha na Okwi wao.
Anyway, asante kwa Magazeti Mkuu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Duh aiseeLeo katika Historia:
1937 - Great Purge: Soviet Union chini ya Kiongozi wake Joseph Stalin wananyonga Wanajeshi 8 ambao walikuwa ni viongozi ndani ya Jeshi la Nchi hiyo!
Huyo ndiye D mwenyewe?[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
RIP watazamaji wa mbio za magari1955 - Watazamaji 83 wa mbio za za magari wanafariki Dunia huku 100 wakijeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika mashindano ya 24 hours of Le Mans.
Inakuwa ni ajali iliyoua watazamaji wengi katika historia ya mashindano ya magari.