Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
Duh interesting!!
Duh interesting!!
Nimekumbukaa D wangu kichaa wangu....daaaaaah dunia hii ina mambo kweliii ....sio vibaya mpaka D akue kwanza
Waumwa na nini sasa shemelahahaha ila shemela wewe mdogo ake bado sana acha D acheze mwenyewe kwanza
Shukrani mkuuTuwe na siku njemaa wakuu. ..
Ila kwa kukumbushana![]()
He! Kwani nani kasema sio wako ??!!!!!!ndio wangu husna
nasikia kizungu zungu kuna mda najiskia kichefu chefu nahisi malaria shemelaWaumwa na nini sasa shemela
Na wewe umeliona hilo eheeMawazo yetu yamefanana
ebu niambie na me ulichokumbuka Baba DNimekumbukaa D wangu kichaa wangu....daaaaaah dunia hii ina mambo kweliii ....
80%kwahiyo mtu akisema anaumwa ni kijacho![]()
Atar tupu komrediDuh interesting!!
Ndiokwahiyo mtu akisema anaumwa ni kijacho![]()
HaaaaahaaaaAlafu ujue nakuona ona ...kama hujui shedede naweza kuwa mlinz wake make na yeye ashakuwa mlinz na alifanya kwa weled
Onyo ...acha kumchekeachekeaa shem wako husna ...make ata mbuyu ulianza kama mchicha. ..nawajuaa nyie wenye maumivu ya mapenziii
Pamoja chiefShukrani mkuu
Akate mzizi wa fitinaaje tu kwakweli
Weraaaaaaanasikia kizungu zungu kuna mda najiskia kichefu chefu nahisi malaria shemela
Alafu ujue nakuona ona ...kama hujui shedede naweza kuwa mlinz wake make na yeye ashakuwa mlinz na alifanya kwa weled
Onyo ...acha kumchekeachekeaa shem wako husna ...make ata mbuyu ulianza kama mchicha. ..nawajuaa nyie wenye maumivu ya mapenziii

Relax amigo. Mara mlinzi. Mara dalali. Mara kuwadi. Mara...Pick one job and do it well. Unazingua!Alafu ujue nakuona ona ...kama hujui shedede naweza kuwa mlinz wake make na yeye ashakuwa mlinz na alifanya kwa weled
Onyo ...acha kumchekeachekeaa shem wako husna ...make ata mbuyu ulianza kama mchicha. ..nawajuaa nyie wenye maumivu ya mapenziii
Ndio limimi sasa limekufanyaje?!Liweweee