Makapuku Forum

Makapuku Forum

25a697d5bfe149f289a735f661e4f2d0.jpg
 
Simba Sc wanachekesha sana, Okwi wa nini sasa? Badala ya kujikita kutafuta damu mpya wao wamekariri maisha na Okwi wao.

Anyway, asante kwa Magazeti Mkuu!
Pamoja sana mkuu musolini

Tatizo la hizi timu zetu zimefumbwa macho, zinauwezo wa kuona zilipokanyaga tu, hazina uwezo wa kuangalia mail 50

Ukweli kwenye soka letu itachukua muda sana kufanikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom